Alain Mugangu : Mvua ndiyo inasababisha kazi za kukarabati barabara zinaenda polepole

Katika Kivu Kusini, barabara zote za kitaifa ziko katika hali ya juu sana ya ubovu. Jiji la Bukavu linajikuta limetengwa kufuatana na kutopitika kwa barabara zinazounganisha jiji hilo na maeneo mengine. Je, kampuni ya serikali, Ofisi ya Barabara, ambayo inashughulikia kazi za barabara inafanyaje katika kukabiliana na changamoto nyingi za miundombinu.
Injenia Alain Mugangu, mkurugenzi wake wa muda wa mkoa, anazungumza na Jean Kasami.

/sites/default/files/2024-02/140224-p-s-invitebukavualainmugangu-00-web_0.mp3