Mkuu wa MONUSCO, James Swan, alikutana PALE Goma siku ya pile tareh 3 novemba naye presidentiy wa zamani wa RDC Joseph Kabila, ambaye anaongoza Kundi la waasi la kisiasa na kijeshi linalojulikana kama Front pour la Réfondation de la Nation (FRN).
Maeneo kumi na saba ya mteremuko wa ardhi inashambuliya Barabara Kananga-Kalamba Mbuji, ambayo kwa sasa inajengwa katika jimbo la Kasai-central.
Kampeni ya uhamasishaji wa jamii kuhusu kuzuia na kupambana na ukatili wa kijinsia ilizinduliwa Jumatatu katika eneo la afya la Gety katika mta la Irumu. Lengo nikuvunja ukimya unaozunguka janga ihi.
/sites/default/files/2026-11/041126-p-journal_bon_swahili_mercredi_matin_.mp




