Basilika ya Bikira Maria wa Matumaini, notre dame de l’espérance, yazinduliwa rasmi jijini Mbuji-Mayi, ikiwa ni tukio la kihistoria kwa Kanisa Katoliki katika eneo hilo la Kasaï-Oriental.
Butembo mkoani Kivu Kaskazini, Wakati mlipuko wa Ebola bado watishia, wanafunzi wanatoa wito wa hatua zaidi za kiafya kabla ya mwaka mpya wa shule kufunguliwa
Shirika la kufwatilia uchukuzi kwa njia ya Meli inchyini Kongo (LMC) yakabiliwa na upungufu kwa kiasi kikubwa wa shughuli zake katika bandari ya Boma, jimboni kongo central.
/sites/default/files/2026-08/31082026-journal_swahili-lundi-matin-00.mp3






