Journal Swahili soir, 1er septembre

Mjini Kinshasa, waziri wa elimu, Raïssa Malu, aliongoza sherehe rasmi ya ufunguzi wa mwaka wa shule 2026–2027

Lubumbashi: Uharibifu wa mazingira katika vijiji vinne vya Fungurume, tume ya pamoja yakusanya sampuli yaani echantillons

Kinshasa; Hali ya ukosefu wa usalama unazidi kuripotiwa katika karta la BAT.

/sites/default/files/2026-09/01092026-journal_swahili-mardi-soir-00.mp3