Journal Swahili Vendredi Soir, 28 Août 2026

Rais wa jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo hutangaza hii alhamisi, maandalizi ya kikao cha majadiliano ya wakongomomani kwa ajili ya kutafuta njia za marejesho ya inchini, zaidi sana sehemu za mashariki.

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guiteress aomba mchango na ongezeko la juhudi ya mataifa na kimataifa ili kufifisha mlipuko wa janga la Ebola.

Wakimbizi wakongomani wasio punguwa elfu makumi nane, wata rudishwa inchini mwao katika siku zijazo. Hii ni matokeo ya mazungumzo ya Lubumbashi iliyo wajumwisha  mawakilishi ya DRC, wa Tanzania na wa shirika la UNHCR.

/sites/default/files/2026-08/280826-journal_swahili-vendredi-soir-00.mp3