Journal swahili midi

  • Lubumbashi:watu wengi kufariki na wengine kujeuriwa kwa msiba wa gari la moshi mtaani Lubudi katika jimbo la Lualaba
  • Goma:Matokeo ya mapambano  kati ya wasi Nyatura na jeshi la taifaa jana  pale Rugari imeongezeka humo jimbo la Nord Kivu
  • Kananga :mapambano kati ya sehemu mbili za wasi pale Dibaya katika jimbo la Kasai centrale
  • Kinshasa:Congo en marche inakatala upinzani itokekatika kazi ya uchaguzi ombi la Medar Kankolongo
  • Kinshasa:Freddy Matungulu wa upinzani anaomba upinzani uhusiane ajili ya kazi ya uchaguzi
  • Kinshasa:swalambili za kinyume ya kikatiba,alishutmu mtetezi Jean marie kabengela Ilunga
  • Kinshasa:Mtetezi wa zamani ya Jean Pierre Bemba haya wai kusema neno kuelekea sheria kuhusu kukataliwa kwa mteja wake wa zamani jean Pierre Bemba kwa uraissi ujao 
  • Kinshasa:kumbu kumbu ya miaka makumi mbili ya kuundwa kwa CPI.Korti ii ina heshimia pya maagizo kutoka kwenye mainchi siwo kuwa memba wa mkata wa Roma
  • Kinshasa:mda ya kazi ya wapelelezi ya kesi ya kuawa kwa watalhamu mbili wa umoja wa matifa mwaka jana mafasirio na Robert P/sites/default/files/2018-09/conducteur_jpsw_12h00_de_ce_jeudi_06092018.docxetit .