Journal swahili midi

Habari za kwanza

  • Watu watano walifariki kwa msiba ya gari jimboni Lualaba
  • Jimboni Nord Kivu , mkasa wa moto  ulisababisha kifo cha binti mmoja mtaani Karisimbi
  • Kinshasa kutambulikana  mapema kwa  kampuni ya wagombea kwa uchaguzi ujao
  • Jimboni Tshopo  kijifhamisha kwa wagombea kwa uchaguzi ujao ina mbele ya wakati  unkatazwa jimboni koote na Liwali
  • Kinshasa Ceni ana katazaa wagombea wakujifahamisha mbele ya wakati
  • Kinshasa hotuba ya mashirika wapendelevu ya MLC
  • Kwilu wakaji wa Kazombi wana kusudia kuzarau kazi ya uchaguzi  viongozi wasipo karabata mabarabara za eneo la Kikwit
  • Beni.kwa kupinga virusi y'Ebola,viongozi wana tangazo matunzo bila malipo kwa mda ya miezi mitatu tangu leo
  • Lubumbashi:tatizo ya kukosa moto  umeme ina tambulikana jimboni Haut Katanga na Lualaba

/sites/default/files/2018-08/20082018-a-s-journalswahilimidi-00-web.mp3