Journal swahili midi

  • Kananga:watu kumi walifariki kwa msiba ya gari pale Tshikapa
  • Lubumbashi:usalama ndogo pa Kasumbalesa , watu tatu waliuawa
  • Kisangani:wakimbizi kutoka africa ya kati wanashutumiwa kutatiza wakaji mtaani Ango katika jimbo la basUélé.
  • Bunia:milioni moja ya dola y'amelikaajili ya mradi wa Starec kwa  kustawishi mtaa wa Djugu
  • MbujiMay:chama cha mwana inchi Lucha kinaomba Ceni asimamishe swala la mashini ya uchaguzi
  • Kinshasa:Hotuba ya miungano na mashirika za shirika la raia
  • Goma:ziara ya kazi ya waziri mkuu wa taifaa katika mipaka ya jamhuri ya kidemocracia ya Kongo na Rwanda inchi jirani
  • Mbandaka:Hasira sabbau ya kusito lipiwa kwa  walietumika kazi ya  kukomesha ugonjwa kwa virusi y"Ebola katika eneo ilo/sites/default/files/2018-08/22082018-a-s-journalswahilimidi-00_0.mp3

Recevez Radio Okapi par email

Donnez votre adresse email dans ce formulaire afin de recevoir tous nos articles dans votre boîte email. Vous recevrez un message de confirmation avec un lien sur lequel il vous faudra cliquer afin que l'envoi d'emails devienne effectif.
Si vous ne voyez pas l'email de confirmation dans votre boîte de réception, allez chercher dans vos spams et marquez le message comme "non spam".  

Votre adresse email :

Service offert par FeedBurner