Journal swahili midi

  • Bunia:Jimboni Ituri mapambano tena kati ya jeshi la taifafa na watu wakumiliki silhaa.matokeo waskatri jeshi wawili waliuawa
  • Goma:Jimbo la Nord Kivu:mapambano kati ya kundi mbili za wasi wa NDC/renove na wa mai mai Mazembe yamuasi Guidon
  • Kananga :jimboni Kasai centrale;walirudilia kesi ya kuawa kwa watalhamu wawili wa umoja wa mataifa
  • Kinshasa:wagombea walie kataliwa wana fikisha baruwa ya muito leo siku ya kwanza
  • Kinshasa;Mjibu ya mgombea alie kataliwa Samy badibanga
  • Kinshasa Chama MLC kina kusudia kufikisha swala lake kunako korti ya kikatiba
  • Kisangani:vijana vya ECC wana himizwa kuhusu uchaguzi ujao inchni
  • Beni:Swala la ugonjwa kwa virusi y"Ebola kufwatilia na OMS
  • Bunia :Lama za homa kwa virusi y"Ebola ina onekana  bila./sites/default/files/2018-08/27082018-a-s-journalswahilimidi-00.mp3