Journal swahili midi

  • Goma:Kufunguliwa kwa mwaka mpya ya masomo hasa katika maeneo zinazo tatizwa na kundi za kumiliki silhaa
  • Kinshasa:kuanzishwa kwa masomo mjini Beni .Kiongozi wa EPSP jimboni Nord Kivu ana haidia kugaramia watoto na walimu mbele ya ugonjwa wa kuambukizana kwa virusi y'Ebola
  • Mbuji Mayi:kuanzishwa kwa masomo mwaka wa elfu mbili na kui na munane , elfu mbili na kumi na kenda Monusco ana pana vifaa vya ya masomo kwa shule imoja ya eneo la Kinchanji
  • Goma:maandamano ya Lucha kusambalizwa na polisi katika jimbo la Nord Kivu
  • Bukavu:maandamano ya Lucha na kuiketi mbele ya ofisi ya Ceni
  • Kinshasa:Kutangazwa kwa fomu za majina za wachaguzi mukila ofisi ilioorozesha watu
  • Lubumbashi:Kyungu wa kuMwanza ana omba waachiliwe huru vijana walitiwa nguvuni siku ya sita na pya polisi irudishe alivyochukuwa
  • Kananga:Wakaji walikimbia  kijiji Tshaku Kwata , wapate kurudi ku makwao ili watoto wapate kurudilia masomo
  • Kananga:mjibu na mafasirio ya mukurugenzi ya mtaa wa Demba Joachim Likaka./sites/default/files/2018-09/03092018-a-s-journalswahilimidi-00_0.mp3