Journal swahili midi

  • Kinshasa:korti ya kikatiba ilitangaza matokeo  ya baruwa ya wagombea waliekataliwa  kwa kiti cha uraisi  na Ceni 
  • Kinshasa:mjibu ya  mhamzi wazamani wa korti ya kikatiba
  • Kinshasa:Ceni anatangaza fomu kwa mda ya wapika kura
  • Goma:Kuhusu swala la wamemba wa Lucha walietiwa nguvuni jana
  • Lubumbashi:Mjibu ya polisi ya jimbo la Haut Katanga kiisha mvutano ku muisho ya juma jana
  • Beni:Shambulizi la wa EDF kijijini Ngadi jana jioni
  • Kisangani:hakuna kurudilia masomo katika mashule kumi na nnane mtaani Ango sababu ya vitisho ya LRA
  • Beni:ombi la viongozi ya mkoo w'asili ya Benikwa serkali ajili ya malipo ya masomo ya watoto mu miezi mitatu ya mwanzo ya masomo
  • Mbandaka:uongozo wa mkoo ya Mbandaka una dai malipo ya walimu wote/sites/default/files/2018-09/04092018-a-s-journalswahilimidi-00.mp3