Journal swahili soir

  • Kinshasa:mgombea kiti cha u-raisi kwa uchaguzji ya tarhe makumi mbili na tatu disemba ijao ana jihuzulu Mtetezi Michel Okongo Lomena
  • Kinshasa;ukadirisho ya kazi ya uchaguzi
  • MbujiMayi:Lucha tawi la MbujiMay lina omba kwa Ceni asimamishe swala la kuiitisha mashini ya uchaguzi 
  • Kananga:watu kumi walifariki kwa msiba ya gari pa Tshikapa
  • Lubumbashi:usalama ndogo pa mji mdogo ya Kasumbalesa katika mpaka na inchi jirani uzambia,matokeo watu tatu waliuawa
  • Kisangani:wakimbizi kutoka centraAfrica wana shutumiwa vitendo vya ukaidi pale ango jimboni Bas Uélé
  • Bunia:milioni moja ya dola y'amaelikaajili ya mradi ya starec kwa mtaa wa Djugu jimboni Ituri 
  • Goma:ombi la shirika la raia ajili ya ukingo ya ufunuzi wa mashule mwaka huu
  • Mbandaka Maandam,ano ya walietumika kwa kupinga virusi y"Ebola.wana dai malipo yawo /sites/default/files/2018-08/22082018-a-s-journalswahilisoir-00_0.mp3