- Kinshasa:Kutangazwa kwa mradi ya mgombea mmoja wa kiti cha urassi Denis Kikuni
- Kananga:Kutiwa nguvuni kwa mshaidi mmoja wa kuawa kwa watalhamu ya umoja wa mataifa
- Beni:Kuachiliwa huru kwa waliozaniwa kumuuawa padri Vincent machozi
- Matadi:watu mbili wamefariki kwa shambulizi mbili tofauti ya wevi wa silha katika jimbo la Kongo centrale
- Kisangani:Unpc ina shutumu shambulizi la wapasha habari wawili
- Kananga :kwanzishwa kwa kampuni ya kwandikisha watoto shuleni bila malipo
- Kinshasa :Kikao cha ma editeurs ya vitabu ya masomo/sites/default/files/2018-09/07092018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3
- Uvira Shirika OADR ina shutumu njaa na umasikini ya wakaji wa Kiringi yulu ya milima ya mtaa wa Uvira
- lubumbashi:matokeo mpya ya msiba ya gari la moshi jimboni Lualaba.