Journal swahili soir

  • Lubumbashi :kikao kuelekea juma ya madini ya jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo pa Kolwezi jimboni Lualaba
  • Kikwit:Kunaswa na OCC kwa uunga ya mkate  ya kuharibika jimboni Kwilu
  • Kinshasa:Acajajili ya serkali ya mpito
  • Beni:wasi wasi ya shirika la raia ajili ya usalama ndogo mtaani Beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Bunia:Viongozi ya usultani wa Andisoma wana shutumu usalama ndogo kuvahamia eneo ilo la jimbo la Ituri
  • Kananga:Mizoz ajili ya shamba una leta vita kati ya kabilambili kuiishi kijijini Dimbelenge
    /sites/default/files/2018-09/12092018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3