Journal swahili soir

  • Kin:mjibu ya Freddy Matungulu mgombea kiti cha urasi ujao kuhusu kikao cha wapinzani sita wa kuu mjini Bruxelles inchini ubelgiji
  • Goma:maandamano ya upinzani kwa kudai  duplicata ya cheti cha uchaguzi kwa waliwopoteza vyeti vyao jimboni Nord Kivu
  • Bunia:binti mwana funzi aliuwa kwa risasi na wasi wa FRPI pa usultani ya walendu Bindi jimboni Ituri
  • Beni:Shambulizi la Maboya lina sababisha kufariki kwa askari polisi , kuporiwa kwa mali ya raia na kuhama kwa wakaji
  • Lubumbashi :siku ya pili ya kikao kuhusu madini ya jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo /sites/default/files/2018-09/13092018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3