Journal swahili soir

  • Lubumbashi:Muisho ya kikao  kya mara ya tatu kuelekea madini ya jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo mjini Kolwezi katika jimbo la Lualaba.
  • Kinshasa:kikao na wapasha habari kuandaliwa na  posta na mahusiano SCPT
  • Bukavu:Msf Holande jimboni Sud Kivu ana tangaza kukaribisha wagonjwa  wa kipindu pindu makumi tano na tano kila juma mtaani Fizi 
  • Mbandaka:Kiisha tatizo na virusi y'Ebola wakati sasa ya kuelimusha  wausika na afya jimboni Equateur
  • Bukavu:Muisho ya kikao kuhusu makundi za silha katika majimbo mbili za Kivu 
  • Goma:Kuhama kwa wakaji wa Gisigari sababu ya mapambano ya jeshi la taifaa na wassi wa FDLR
  • Kinshasa:Uhimizaji kuhusu mashini ya uchaguzi mjini Kinshasa./sites/default/files/2018-09/14092018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3