Journal swahili soir

  • Kinshasa:Kikao na wapasha habari wa Kinshasa ya bi leila Zerougui mwenyezi wa Monusco
  • Beni:muungano ya viongozi ya makanisa ya beni wana omba kuendeshwa doria ya pamoja Monusco na jeshi la taifaa kwa kulinda wakaji wa eneo ilo la jimbo la Nord Kivu 
  • Kananga:shirika la raia lina  piga yowe , ajili ya msaada wa kiuutu kwa  maelfu matano yawaliefukuzwa inchini Angola 
  • Kinshasa:jee kuhusu badgeti kunako ubunge wa taifaa
  • Bukavu:Barabara kuenda kiwanja cha ndege ya kavumu ilikatika usika ya leo sababu ya mvua kali mjini Bukavu
  • Goma:Kupewo kwa chumba cha masambo kwa wausika na sheria ya kijeshi mjini Goma katika jimbo la Nord Kivu./sites/default/files/2018-10/16102018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3