Journal swahili soir

  • Kinshasa:Hotuba ya wagombea kiti -kwa uraisi ajili ya kazi za uchaguzi
  • Kinshasa:chama cha MSC kina lazimisha Ceni utumiaji wa vyeti kwa uchaguzi ujao
  • Beni:hotuba ya mwakilishi maluum ya katibu mkuu wa umoja wa mataifaa bi leila Zerougui mjini Beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Beni:Angalisho la jeshi ya taifaa kwa kila kundio la silha kupima kuzongelea Beni kwa kupiganisha kimagendo wa Edf
  • Bukavu:tena kuliuawa mvundja noti mjini Bukavu katika jimbo la Sud Kivu
  • Kananga:tangazo la shirika la kiutu kuhusu swala la wazaliwa ya Kongo waliefukuzwa inchini Angola ambawo wana iishi pa Tshikapa jimboni Kasai/sites/default/files/2018-10/18102018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3