Journal swahili soir

  • Kinshasa:mradi kwa jina la Mokengeli ya maponami ajili ya uchaguzi ujao kuandaliwa leo mjini Kinshasa na fondation Konrad Adenauer , umoja wa inchi za ulaya na Western minstry fondation for democracy
  • Kinshasa:kufungwa kwa wapasha habari watano wa kituo Africanews
  • Bukavu:Kubomolewo kwa nyumba zilizojengwa kiyolela kando kando ya Ruzizi ya kwanza kunako mpaka ya Rwanda na jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo jimboni sud  Kivu
  • Goma:watuwawili wamhukumiwo kigungo kya maisha pale Rubaya katika jimbo la Nord Kivu 
  • Beni:Mradi ya matumikio mapya ya waziri wa afya kwa kupinga homa kwa virusi y'Ebola pa beni jimboni Nord Kivu
  • Kananga:ombi la msaada ajili ya wgonjwa wa kitchwa mjini Kananga/sites/default/files/2018-10/19102018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3