Journal swahili soir

  • Kananga:watu nee wamefariki kwa msiba ya mitumbui pa Tshikapa jimboni Nord Kivu
  • Goma:hali ya vuta ni kuvutekati ya polisi na wakaji wa kartaa Buhene mjini Goma jimboni Nord Kivu
  • Beni:kinyume ya usalama ndogo katika mitaa ya Lubero na Beni , uchumi imezorota saana alishutumu kiongozi ya shirika la wafanya byashara katika eneo la utembo Lubero
  • Kinshasa:Kikao na wapasha habari ya chama Congo en marche kuhusu kazi za uchaguzi huenda kufanyika inchini
  • Bunia ,kikao cha upinzani ya kisiasa mjini Bunia
  • Kinshasa:mwanzo ya mitiani ya taifaa ajili ya kutetea haki ya kiutu ulimuenguni/sites/default/files/2018-10/23102018-a-s-journalswahilisoir.mp3