Journal swahili soir

  • Kinshasa;mchezo ya kandanda kati ya timu ya Vita club na yale ya Almasri ya Msri
  • Kinshasa: kikao cha upinzani ya wajamuhuri ya kidemocra cia ya Kongo mjini pretoria katika Africa ya kusini
  • Goma:watu watano walifariki kufwatana na bukomvi kati ya watu wakumiliki silha na kazi za usalama jimboni  Nord Kivu
  • Bukavu :zaidi ya wakimbizi elfu makumi mbili na sita wamaanza kurejea makaoni katika usultani ya Bijombo humo jimbo la Sud Kivu
  • Lubumbashi:magumu ya maisha kwa wakongomani walie fukuzwa inchini Angola pale Dilolo jimboni Lualaba
  • Bunia:magari za vitambulisho ya Uganda zina fungwa tangu juma jana jimboni Ituri, na magari kumi na tau za wakongomani zilishikwa pya inchini Uganda
  • Kinshasa :kIongozi ya shirika la Anapeco ana towa maoni yake kuhusu mizozo kati ya viongozi ya EPSP na FPMA
  • /sites/default/files/2018-10/24102018-a-s-journalswahilisoir.mp3