Journal swahili soir

  • Beni:shambulizi la wanao zaniwa kuwa wa Edf jana mjni Oicha , ikasababisha kifo cha watu wawili na kuuunguzwa kwa manyumba , duru za shirika la raia la nyumba
  • Beni:shambulizi la ngome ya Monusco kando kando ya Simulki ,vikosi vya umoja wa mataifa vilikimbiza madui kupitia maelikopta
  • Lubumbashi:watoto watano wa jamaa moja waliuungula na kufariki kwa mikasa ya moto makaoni mawo pale mji wa Lubumbashi
  • Kinshasa:mafasirio ya waziri wa vyu vikuu inchini kuhusu pesa ya malipo ya masomo mwaka huu mpya
  • Kinsahsa :kikao siwo kawaida cha tawi la usika na waganga inchini jamuhuri ya kidemocra/sites/default/files/2018-10/25102018-a-s-journalswahilisoir_0.mp3cia ya Kongo