Journal swahili soir

  • Kinshasa:maandamano ya upinzani mjni Kinshasa
  • Kinshasa :idadi ya polisi ya taifaa iliongezwa mjini mkuu Kinshasa katika pembe nee za mji
  • Bukavu:maandamano ilifanyika mjini Bukavu ,polisi ilsindikiza wandaamanaji kwa kufikisha baruwa ya masito kwenye Ceni jimboni
  • Goma:mandamano bila tatizo
  • Kisangani:maandamano ilikataliwa na meya wa mji wa Kisangani katika jimbo la Tshopo
  • Lubumbashi:maandamano ilikatazwa
  • Kinshasa;Msemaji wa ceni ana hakikisha kupokea baruwa ya mashito ya waandamanaji bila tatizo /sites/default/files/2018-10/26102018-a-s-journalswahilisoir.mp3