Journal swahili soir

  • Kinshasa:ziara ya pamoja katibu mkuu makamu wa umoja wa matifaa ausika na amani .
  • Beni:shambulizi la ofisi ya ngome ya jeshi la taifaa la kazi za Sokola ya kwanza na wa mai mai katika jimbo la Nord Kivu
  • Bunia:Shambulizi nyipya mtaani Djugu jimboni Ituri 
  • Kananga:Shirika la raia lina jishwali kuhusu kuzuka mara tena kwa vitendo mbaya na vijana wa  mtaa wa Dibaya mtaani Dibataie jimboni  ilo
  • Goma:Shirika la haki za binadamu Cadhas lina omba warudishiwe haki yawo hawa wahangaz zaidi ya mia moja na makumi matano waliuawa pa Kiwanja mtaani Rutshuru  katika jimbo la Nord Kivu /sites/default/files/2018-11/05112018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3kumepita miaka kumi sasa
  • Kinshasa :Csac ina pinga tabia ya kujitetea  mapema bada ya  uchaguzi , na ana haidia huenda kuhazibu nyumba za wapasha habari kusito heshimia agizo lake