Journal swahili soir

  • Kinshasa:hotuba ya upinzani kuhusu wakilishi ndani ya timu la kutetea ukandideti wa Emmanuel Shadari Ramazani
  • Kinshasa:kufunguliwa kwa kikao cha amani na kusamehana leo mjini Kinshasa na Cime yani commission d'integrite et de mediation electorale
  • Bukavu:Baruwa ya manunguniko ya wamemba wa shirika ICJP na NDSCI humo jimbo la Sud Kivu
  • Beni:Safari ya Jean Pierre Lacroix katibu mkuu wa umoja wa mataifaa ajili y'amani  na kiongozi ya OMS mtaani Beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Kisangani:maandamano yawana funzi ya segondari kwa kupinga atuwa ya inspekta wa tawi la Epsp Nyangara
  • Kinshasa :miti zinakatiwa kwa kupanuwa barabara Lumbumba mtaani Limete , mradi ya serkali ya jimbo na ile ya taifaa.

/sites/default/files/2018-11/web-07112018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3