Journal swahili soir

  • Kinshasa:Shadari Ramazani ana wajibiwa wanaomshutumia utumiaji wa vifaa ya serkali kwa utetezi ya uchaguzi ujao
  • Kinshasa:Ceni ana  leta mafasiria kulingana na amri ya uchaguzi kuhusu swala la shutuma kwa jina la Shadari Ramazani
  • Bunia:mapambano kati ya jeshi la taifaa na watu wasiojulikna kijijini Laudjo pa usultani ya walendu Pitsi mtaani Djugu katika jimbo la Ituri
  • Bunia:Jeshi la taifaa lilipiga masasi kwa kudai marupu rupu yao mtaani Djugu katika jimbo la Ituri
  • Beni:Waskari jeshi wengi walihukumiwa mtaani Beni sababu ya ubakaji na wizi katika jimbo la Nord Kivu
  • Kalemie:Kulianzishwa kazi za kijeshi kwa jina la Usalama jimboni Tanganyika
  • Bukavu:mkongomano wa taifaa ajili ya sheria ya udongo./sites/default/files/2018-11/09112018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3