Journal swahili soir

  • Kinshasa:kikao cha mabadirishano ya mafikra kati ya serkali na wanao tumika pamoja
  • Beni:mulio wa risasi  kwa silha mzito ulisikika tangu asubui ya leo pa Mavivi mtaani Beni katyika jimbo la Nord Kivu
  • Goma:kufika kwa mfungwa Tcheka mpiganaji wa zamani  kiongozi wa Nduma defense of Congo NDC pa Goma leo
  • Bukavu :mji bila kazi mda ya siku mbili mtaani  Fizi katika jimbo la Sud Kivu
  • Bunia:Ukarabati wa barabara Bogoro-Kasenyi na pya yale Bogoro Aveba  jimboni Ituri
  • Lubumbashi :kurudishiwa haki kwa wafanya kazi ya serkali jimboni Haut Lomami /sites/default/files/2018-11/13112018-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3