Journal swahili soir

  • Kananga :msaada wa ki-utu-wa Ocha kwa wazaliwa ya Kongo waliefukuziwa inchini Angola
  • Bunia:hali ni mbovu saana katika jela ya Mongwalu jimboni Ituri
  • Bukavu:mapambano kati ya wasi wa rundi wa FNL na jeshi la Urundi inchini jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo
  • Goma:usalama unatambulikana  katika mji mdogo wa Nyamilima
  • Kinshasa:siku kuu ya kupiganisha ugonjwa wa sukali ulimwenguni
  • Kinshasa:Uongozo ya mchafu katika mji jimbo la Kinshasa ni shida kabisa./sites/default/files/2018-11/14112018-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3