Journal swahili soir

  • Kinshasa:fujo imeripuka katika cliniques universitaires sababu ya kufariki kwa mwana funzi alieumizwa kwa risasi juma jana 
  • Kinshasa:kuzuka mara tena kwa ugonjwa wa kipindu pindu mu mwaka wa elfu mbili na kumi na mnane
  • Kinshasa:kukosa maji katika mashariki ya mji jimbo ya Kinshasa
  • Kisangani:madamano ya wakaji kufwatana na kuuawa kwa wakaji wawili mtaani Ango katika jimbo la Bas Uélé
  • Bukavu:ujumbe wamani toka kwa Moise Nyarugabo kwa majamaa zote kuhusu mapambano ya FNL na jeshi la Burundi inchini jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo
  • Lubumbashi:kutiwa nguvuni na kpelekwa gerezani Kasapa kwa wafanya kazi wa kampuni ya SNCC
  • Goma:Kutangazwa kwa ripoti ya Iccn ajili ya kuongezeka kwa idadi ya ngila za milima ya Virunga/sites/default/files/2018-11/15112018-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3
  •