Journal swahili soir

  • Kinshasa:hali ya mvutano leo katika univasiti ya Kinshasa
  • Kinshasa:mazungmzo kati ya waziri wa Esu na kamati ya uongozi ya wanfunzi na pya wazazi ya wahanga
  • Goma:wanamgambo wa FDLR kuiishi ndani ya kambi la Kanyabayonga wali hama na fasi ingine tangu siku ya sita
  • Goma:mjibu ya liwali kuhusu swala la kuhama kwa wasi wa FDLR
  • Bunia:Mulio ya risasi ilisikika pa Penyi jimboni Ituri
  • Kananga:Askari jeshi mmoja ameuwa watu wanee jimboni kasai central./sites/default/files/2018-11/19112018-a-s-journalswahilisoir1700-00_0.mp3