Journal swahili soir

  • Kinshasa:kwanzishwa  rasmi kwa  kampeni ya  uteteji kwa uchaguzi wa mwezi wa disemba na Ceni mjini Kinshasa
  • Kinshasa:Mkutano na wapasha habari na Monusco mjini Kinshasa kuhusu kampeni ya kujitetea kwa uchaguzi ujao
  • Kinshasa:Kufika kwa MArtin Fayulu,mgombea wa sehemu moja ya unpinzani ya nchi
  • Goma:habari kuhusu kuhamishwa kwa wa FDLR pa Karanutshinya jimboni Nord Kivu
  • Kisangani:hali ya vugu vugu kati ya wana funzi wa  vyuu vikuu mjini Kisangani na watembeza mapikipiki na pya madereva ya taxi katika jimbo la Tshopo/sites/default/files/2018-11/21112018-a-s-journalswahilisoir1700-00.mp3
  • Bukavu:Kiongozi makamu wamtaa ya Bagiraana jiuzulu mu kazi humo jimbo la Sud Kivu.