Journal swahili soir

  • Kinshasa:kwanzishwa kwa kampeni ya uchaguzi leo siku ya nee katika jamuhuri ya kidemocracia ya kongo mzima
  • Lubumbashi:kwanzishwa kwa kampeni ya uchaguzi mjini Lubumbashi
  • Kinshasa:maoni ya wapita njia kuhusu mwanzo ya kampeni ya uchaguzi inchini
  • Kinshasa:Ujumbe wa shauri la ukingo ya umoja wa mataifaa kuhusu kampeni ya uchaguzi inchini jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo
  • Beni:mbunge wa taifaa Paul Muhindo ana kusudia irudishwe nyuma wakati ya uchaguzi katika mji na mtaa wa Beni humo jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Musenata Mokonda Bonza ana uuliza waziri wa Esu Steve Mbikay ngisi waliuawa  wana funzi wawili huko Campus ya Kinshasa
  • Kinshasa:mjibu ya waziri wa esu Steve Mbikay ,mabo yote ni tayari kwa kukomesha shida kutambulikana huko campus ya Kinshasa./sites/default/files/2018-11/22112018-a-s-journalswahilisoir1700-00.mp3