Journal swahili soir

  • Kinshasa:Hakuna baruwa ya kutuma muungano wa Ulaya kwa kuchunguza kazi ya uchaguzi kwandalia na Ceni
  • Kisangani:Shambulio la ofisi ya generation Shadary
  • Goma:mapambano kati ya waandamanaji na jeshi na wazamu wa ICCN ina sababisha kifo cha watu watatu pale Vitshumbi mtaani Rutchuru
  • Kananga:Kufika kwa watalhamu wa umoja wa mataifaa mjini Knanaga katika jimbo la Kasai central
  • Lubumbashi:Manuunguniko za wapiganaji wazamani walioacha silha kunako kituo cha Kamina
  • Goma:Watoto wana ukuwa utapia  mlo mtaani walikale
  • Kinshasa:kukubaliwa kwa mradi kuelekea afya ya watu wote jana kunako baraza la bunge ya taifaa./sites/default/files/2018-11/28112018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3