Journal swahili soir

  • Kinshasa:hotuba ya mwakilishi mkuu wa katibu maluum wa umoja wa mataifaa
  • Kalemie:Martin Fayulu Madidi alifika mjini Kalemie katika jimbo la Tanganyika
  • Beni:Hotuba ya Felix Tshisekedi mjini Beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Bunia:Kufika kwa mgombea wa Fcc Emmanuel Ramazani Shadari jimboni Ituri
  • Goma:shambulizi la kituo cha afya cha pale Lubirizi mtaani Rutchuru jimboni Nord Kivu
  • Kinshasa:Kunaoneshwa mapitsha za waskari jeshi w'Africa waliepigana wakati ya vita ya kwanza ya ulimwengu /sites/default/files/2018-12/12122018-a-s-journalswahilisoir-00_0.mp3