Journal swahili soir

  • Kinshasa:agizo kuchukuliwa na serkali kua ukingo ya uchaguzi
  • Matadi:kikao cha mgombea kiti cha uraisi Felix Tshisekedi mjini Matadi katika jimbo la Kongo Central
  • Kinshasa:Acaj ana tangaza matokeo kwa mda ya kampeni ya uchaguzi
  • Mbandaka:Ukomvi kusababisha kufariki kwa watu kati ya makabila mbili  Batende na Banunu kijijini Yumbi katika jimbo la Mai Ndombe
  • Kinshasa:kuhusu wagombea kiti cha urasi wengine katika kampeni yao inchini jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo
  • Goma:kushikwa na kutiwa nguvuni kwa wakuu wawili wa FDLR katika jimbo la Nord Kivu
  • Bukavu:maandamano ya wafanya kazi wazamani ya serkali ya jimbo kwa kudai malipo ya miezi mikumi humo jimbo la Sud Kivu./sites/default/files/2018-12/18122018-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3