Journal swahili soir

  • Kinshasa:Mjibu ya front commun pour le Congo kuhusu atuwa ya liwali wa mji jimbo la Kinshasa lakusimamisha kila kazi ya kampeni ya wagombea kiti cha urasi mjini kinshasakutosha tuu nyumba za upashaji wa habari
  • Kinshasa:Mjibu  toka kwa Cap pour le changement kuhusu atuwa ya liwali wa mji jimbo la Kinshasa
  • Kinshasa:Mjibu yake muungano Lamuka
  • Kinshasa:Kikao cha umoja wa mataifaa kuhusu tatizo kutambulikana wakti wa kampeni ya uchaguzi
  • Kinshasa:Tatizo kuelekea utawanyaji wa vyombo vya uchaguzi majimboni
  • Goma:shirika la kimataifaa lausika na mlio bora PAM lina simamisha kazi zake barabarani Masisi -Nyabiondo kiisha kuawa kwa derva wake ./sites/default/files/2018-12/19122018-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3