Journal swahili soir

  • Beni:mji bila kazi pa Beni , Butembo na pya Oicha humo jimboni Nord Kivu
  • Goma:Mji bila kazi na pya maandamano ya kimia ya Lamuka jimboni Nord Kivu
  • Bunia:Maandamano mjini Bunia kwa kuunga mkono wakaji wa Beni Butembo katika jimbo la Ituri
  • Kinshasa:Alikwa ya mji bila kazi katika jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo
  • Kinshasa:Bibi Leila Zerougui ana towa maoni yake kuhusu kurudishwa nyuma kwa tarhe ya uchaguzi pa Beni Butembo na Yumbi
  • Kinshasa:Kikao kushirikisha Ceni-SADC na wagombea watatu wa kiti cha uraissi kwa uchaguzi ujao 
  • Kinshasa:Kikao na wapasha habari kwandaliwa na CIME./sites/default/files/2018-12/28122018-p-s-journalswahilisoir-00.mp3