Journal swahili soir

  • Kinshasa:kuachwa huru kwa wafungwa wa gereza kuu ya Makala kupitia msahamaa wa raissi wa jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo
  • Kinshasa:waziri wa mahusiano anatowa angalisho kwa wausika na upashaji wa habari
  • Kinshasa:Ceni ameaanda kikao kwa kuhaidia utangazaji wa matokeo ya uchaguzi wa tarhe makumi tatu  disemba mwaka jana kama imepangwa na kalenda yake 
  • Bukavu:mfuko wa vyeti vya uchaguzi na maripoti yali ogotwa katika barabara huenda Walungu jimboni SudKIvu
  • Uvira:Maandamano ya wafanya kazi wa Ceni wakidai malipo ya nyongezo
  • Bunia:Maandamno kua kupinga chanzo kwa walieshiriki wagonjwa kwa Ebola jimboni Ituri./sites/default/files/2019-01/03012019-a-s-journalswahilisoir-00_0.mp3