Journal swahili soir

  • Kinshasa:Ecc ana towa maoni yake kuhusu uchaguzi wa trahe makumi tatu disemba mwaka wa elfu mbili na kumi na mnane
  • Kinshasa:kikao kya chama UDPS mjini Kinshasa
  • Kinshasa:msemaji maluum wa umoja wa mataifaa wa kutetea uhuru wa habari ana towa maoni yake kuhusu kukatwa kwa internet inchini jamuhuri ya Kongo
  • Kinshasa:Mjibu ya wana funzi kuhusu kukatwa kwa internet
  • Beni:watu kumi waliuawa  na wasi wa EDF pa Mavivi jimboni Nord Kivu
  • Kindu kinyume mbaya ya mvua kali ilinyesha PAngi katika jimbo la Maniema
  • Kinshasa :Siku ya pili ya kurudila njia ya masomo kiisha mapumziko ya Noeli./sites/default/files/2019-01/08012019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3