Journal swahili soir

  • Kinshasa:kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi kwa wagombea uraissi
  • Uvira:hali kudumu kusini mwa jimbo la Sud Kivu kwa kungojea itangazwe matokea ya uraisi wa uchaguzi wa tarhe makumi tatu disemba mwaka wa elfu mbili na kumi na mnane
  • Kisangani:hesabu ya matokeo kwa uchaguzi wa tarhe makumi tatu disemba mwaka wa elfu mbili na kumi na mnane kama ina tambulikana jimboni la Tshopo
  • Kinshasa :Mjibu wa wziri wa mahusiano inchini kuhusu masemi kuelekea mazungmzo ya raisisi Joseph kabilana kiongozi wa Udps Felix Tshisekedi
  • Mbandaka :Kutiwa nguvuni kwa kiongozi wa iza ndogo pa  jimbo la Equateur 
  • Beni:shambulizi la ngome tatu ya jeshi la taifaa na wasi wa EDF pa Maisafi  katika jimbo la Nord Kivu
  • Beni:Masambo ya waskari jeshi wanee mbele ya  mahakama ya kijeshi  mtaani Beni katika jimbo la Nord Kivu./sites/default/files/2019-01/09012019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3