Journal swahili soir

  • Kinshasa:hotuba ya Cenco kuhusu matokeo kwa mda ya uchaguzi wa uraisi
  • Kikwit:mvutano na mlio wa risasi mjini Kikwit una sababisha kifo cha watu sita katika jimbo la Kwilu
  • Kisangani:Maandamano ya hasira mjini Kisangani katika jimbo la Tshopo
  • Kinshasa:Hali kutambulikana mjini Kinshasa kiisha kutangazwa kwa matokeo kwa mda wa uraisi
  • Mbuji May:Burudani mjini MbujiMay katika jimbo la Kasai sababu ya ushindi wa Felix Tshisekedi
  • Kananga:Burudani pya katika mji wa Kananga jimboni Kasai central
  • Bukavu:Kushangiliwa kwa ushindi wa Tshisekedi Felix ./sites/default/files/2019-01/10012019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3