Journal swahili soir

  • Kinshasa:Hotuba ya muungano ya mainchi za Ulaya kuhusu matokeo ya uchaguzi ya tarhee makumi tatu disemba mwaka wa elfu mbili na kumi na mnane
  • Kinshasa:kikao cha Martin FayuluMadidi
  • Kikwit:hali mbovu inaendelea mjini Kikwit katika jimbo la Kwilu
  • Lubumbashi:ujeuri kutambulikana mjini za jimbo kuu la Katanga
  • Kisangani:hali imekuwa tulivu mjini Kisangani humo jimbo la Tshopo
  • Kinshasa:Matokero ya ujeuri na polisi kiisha kutangaza matokeo ya uchaguzi inchini humu
  • Kinshasa:matayarisho ya mabaruwa za muito kwenye korti ya kikatiba inchini 
  • Kinshasa:samani ya dola y'amarika ina shuka  mjini Kinshasa kwa sababu gani/sites/default/files/2019-01/11012019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3