Journal swahili soir

  • Beni:Kayina, eneo jipya la afya kutatizwa na virusi y"Ebola katika jimbo la Nord Kivu
  • Beni:Agizo nyipya kuchukuliwa kwaku zuwiya kusambalana kwa virusi y'Ebola humo jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Mjibu yake Cach kufwatana na hotuba ya muungano ya mainchi za Africa
  • Kinshasa:Mjibu wa FCC kuhusu hotuba ya umoja wa mainchi za Africa
  • Kinshasa"Mjibu wa Lamuka kuhusu masemi ya umoja wa mainchi za bahala l'Africa
  • Lubumbashi:Kuachiliwa huru kwa walinzi tano wa Moise Katumbi
  • Goma:kuachiliwa huru kwa karibu wavuvi kumi walitekwa nyara na wa mai mai./sites/default/files/2019-01/15012019-a-s-journalswahilisoir-00_0.mp3