Journal swahili soir

  • Kindu:mtu mmoja aliuawa jana usiku mjini Kindu , wawili kujueriwa wakati  ya maandamano humo jimbo la Maniema
  • Goma:kesi ya masambo ya Tcheka muasi wa eneo la mtaa wa walikale ,huyu ana jitetea kuungwa mkono na wamemba ya serkali
  • Kananga:kesi ya masambo ya watalhamu wawili wa umoja wa mataifaa , watetezi wan shutumu uzembe
  • Kinshasa:mgomo yana endelea katika kazi za serkali
  • Kinshasa:tangazo la shirika la kimataifaa lausika na hali za ki binadamu
  • Kinshasa:siku ya kumbu kumbu ya kufariki kwa Etienne Tshisekedi./sites/default/files/2019-02/01022019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3