Journal swahili soir

  • Kinshasa:ziara ya kazi ya kwanza  Luanda inchini Angola ya raissi wa jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo tangu alisimikwa kiserkali
  • Beni:kwa kupiganisha ugonjwa kwa virusi y'Ebola pa Beni , watumishi ya Mungu wna tawanyika kwa kusisitiza wakaji wa eneo ilo la jimbo la Nord Kivu
  • Beni:hesabu kwa sasa ya wagonjwa kwa virusi y'Ebola katika jimbo la Nord Kivu na lile la Ituri
  • Goma:maandamano pa Keshero kiisha kuawa kwa msichana katika kartaa haia magaharibi mwa mji wa Goma jimboni Nord Kivu
  • Kisangani:kaporal mmoja wa jeshi la taifaa ana hukumiwa kifungo cha maisha sababu ya mauawaji
  • Kinshasa:baraza la bunge wasiaidizi wana daia malipo ya mishara na ya muisho ya kazi
  • Kananga:Wafanya kazi kunako DGRKA wana dai walipiwe mishara yawo ya miezi za hapo nyuma./sites/default/files/2019-02/05022019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3