Journal swahili soir

  • Kinshasa:wakati ganiata tajwa mwenyezi wa serkali mpya na wataotumika na ye pamoja
  • Kinshasa:kukubaliwa kwa mda ya kazi kwa wabunge wa majimbo
  • Lubumbashi:Polisi ilinasa toni ya pata elfu makumi tatu na tano za shaba na cobalt kuwekwa  na wachaina ndani ya gala
  • Kananga:wizi katika eneo la bwawa la Katende na  kamanda mmoja wa polisi la taifaa
  • Bunia:hali ya kiutu ni mbovu pa usultani wa Ndo kiisha kuluunguzwa kwa vijiji makumi mawili na wajirani wao wa Lendu Pitshi
  • Kinshasa:Kusimamishwa kwa mgomo ya kazi kwa wafanya kazi wa SCTP./sites/default/files/2019-02/07022019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3