Journal swahili soir

  • Kinshasa:ziara ya kazi ya raissi wa jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo  katika jimbo ndogo l'Africa
  • Goma:Kuhusu masambo ya kesi ya mwassi Tcheka Ntabo Taberi  katika jimbo la Nord Kivu
  • Beni:Shambulizi mpya la watu wakumiliki silhaa wasiojulikana katika kartaa Rwangoma,pa Beni jimboni Nord Kivu
  • Bunia:matendo mbovu imepunguka katika usultaniwa walendu Bindi humo jimbo la Ituri
  • Kananga:kufika kwa wazaliwa wa Kongo walie fukuziwa inchini Angola pale Kamako jimboni Kasai katika mpaka y"Angola na jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo 
  • Matadi:kushikwa kwa wanao zaniwa kuwa wajambaji waliuawa mvunja noti mjiniMatadi juma jana humo jimbo la Kongo Central
  • Lubumbashi:Kiwango cha shaba na cobalt kinaongezeka inchini jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo mwaka huu./sites/default/files/2019-02/08022019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3

Recevez Radio Okapi par email

Donnez votre adresse email dans ce formulaire afin de recevoir tous nos articles dans votre boîte email. Vous recevrez un message de confirmation avec un lien sur lequel il vous faudra cliquer afin que l'envoi d'emails devienne effectif.
Si vous ne voyez pas l'email de confirmation dans votre boîte de réception, allez chercher dans vos spams et marquez le message comme "non spam".  

Votre adresse email :

Service offert par FeedBurner

Sondage

Mots-clés populaires

RDC (175)
Ebola (67)
FARDC (59)
Beni (32)
Unpc (30)
FCC (26)
Ceni (25)
Lamuka (25)
Kinshasa (24)
Sécurité (24)
Ituri (23)
ADF (22)
JED (22)
Djugu (22)
Corruption (21)