Journal swahili soir

  • Kananga:masambo kuhusu kuawa kwa watalhamu wawili wa umoja wa mataifaa Zaida Katalan na Michael Sharp
  • Kinshasa:kikao cha katibu wa kwanza wa ofisi  ya mda kunako baraza la bunge na wapasha habari
  • Matadi:matokeo ya baruwa ya wagombea usenata na u-liwali katiak jimbo la Kongo central
  • Uvira :Kikao cha wausika na swala za kiuutu pamoja na HCR pesa kuitajika kwa manufaa ya wakimbizi wa Rundi katika kanda la maziwa makuu
  • Bunia:Miili zilikatwa katwa zinaogotwa fasi mbali mbali za jimbo la Ituri
  • Kalemie :ujumbe wa pamoja Monusco na viongozi wa kisiasa na kiserkali barabarani Kalemie Bendera katika jimbo la Tangayika
  • Kinshasa:kufunguliwa kwa nyumba huenda kuwa ofisi ya liwali wa mji jimbo la Kinshasa./sites/default/files/2019-02/11022019-a-s-journalszahilisoir17h00-00.mp3