Journal swahili soir

  • Kananga ;watu sita wa jamaa imoja wamefariki kwa mvua kali pa Kamulonda  jimboni Kasai central
  • Kananga :masambo kuhusu kesi ya kuawa kwa watalhamau wawili wa umoja wa mataifaa
  • Lubumbashi:shutumu ya ubakaji katika kartaa Bel Air mjini Lubumbashi humo jimbo la Haut Katanga
  • Matadi :gazetti ya mwaka wa elfu mbili na kumi na mnane kutangazwa na PNMLS
  • Kinshasa:ugonjwa kwa jina la chicoungounia kutambulikana mjini Lubumbashi na pya katika jimbo la Kongo central
  • MbujMay:hali ya vuta ni kuvute kutambulikana pale Lubao kati ya waskari jeshi na waskari polisi la taifaa
  • Bunia :ushuru kwa waskari jeshi mbele ya kutumikisha mabomu kwenye shimu za zahabu  jimboni Ituri./sites/default/files/2019-02/13022019-a-s-journalszahilisoir17h00-00_0.mp3