Journal swahili soir

  • Goma:Kamasa y'Amani imeanza leo tarhe kumi na tano februari mjini Goma katika jibmo la Nord Kivu
  • Beni:martin Faylu Madidi amefika mjini Butembo leo
  • Kinshasa:matayarisho ajili ya uchaguzi  ya ubunge wa taifaa na wa majimbo mtaani Yumbi katika jimbo la MaiNdombe
  • Kisangani:hali ya mji mdogo wa Lowa katika mtaa wa Ubundu humo jimbo la Tshopo
  • Bukavu:matembezi ilitatizwa ya leo  barabarani Bukavu Uvira
  • Kinshasa :mradi kuelekea mabomu zilizo bakia bila kupasuka  inchini jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo
  • Lubumbashi:mwanzo ya kikao ajili ya vijana./sites/default/files/2019-02/15022019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3